

AFYA TOTO
KSh 3,999
AFYA TOTO
Ni dawa ilio tengenezwa katika mfumo wa unga ndani yake kuna mchanganyiko wa madawa asilia yenye kusaidia na kutibu changa moto za kiafya za watoto
FAIDA ZAKE
1-Inaongeza hamu ya kula
A-improves appetite
2-Inasaidia katika ukuaji wa mifupa na ubongo
3-Dawa hii iko na vitamini ambazo humuwezesha mtoto kuonekana vizuri
4-Huimarisha usemi au kauli kwa watoto waliochelewa kuongea
5- Huimarisha mifupa na mishipa huku ikikabiliana na changamoto za ulemavu
6- husaidia watoto ambao viungo vyao vimekakamaa au kulegea au kuchelea kuketi,kukazanisha shingo au kutembea
7-Husaidia Kuimarisha kinga Ya mwili kwa mtoto na kufanya asishambuliwe na maradhi Mara kwa mara
8-Husaidia watoto ambao ukuaji wao sio Mzuri, hawaongezi uzito kulingana na Umri wao
NOTE:
Ni bidhaa Bora ya ASILI isiyo na kemikali na Haina Madhara yoyote kwa Mtumiaji afya toto hutumiwa na watoto wadogo kwa wakubwa
Delivery
Country wide delivery
You may also like


BRISTEX LIPS SPECIAL Hii ni dawa nzuri sana ya herbal ambayo inatibu na kumaliza kabisa tatizo la lips discoloration kwa siku 30pekee 1- daw

COLON CLENSER ✅-This powerful herbal formula is designed to promote digestive wellness, reduce bloating, eliminate toxins, and support regul

CUPPING THERAPY OR HIJAMA This is a traditional Islamic healing method that involves placing cups on the skin to create suction. In wet cupp
